…Kununua My 1st Dream Car AUDI Q5 Yenye Thamani Ya 43M+ Ndani Ya miezi 12 Tu!
KWAHIYO:
Hii Naitwa: Mentor Charles Peter
Naishi Goba – Dar es Salaam
Mpendwa Networker?
Kwanza:
hebu Nikuulize Maswali Ambayo networkers
wengi hawapendi kukubali UKWELI hadharani…
👉 Ulishawahi kutuma picha ya bidhaa kwa mtu WhatsApp, Halafu akakula blue-tick Tu Bila Kujibu Chochote?
👉 Ulishawahi kuelezea bidhaa zako kwa mtu kwa dakika 15, halafu akakwambia “nitakujulisha” na hakurudi tena?
👉 Ulishawahi kulipia Tangazo Lako Instagram & Facebook Alafu Watu Wakaja Kibao Lakini Hakuna Anayenunua…?
😩 Ulishawahi kufikia hatua ukaanza kuhisi labda network marketing sio ya kwako…?
…Sikia Kiongozi…
Kama bado unatumia njia zile zile za kizamani — kufuatilia watu WhatsApp bila majibu, kutuma picha za bidhaa kila siku bila kununuliwa, na kubembeleza watu wajiunge…
…Pamoja Na Kutembea Na Bidhaa Mtaani Kama
Basi…
…karibu kwenye dunia halisi ya mateso ya
networker anayehangaika Kuuza Bidhaa zake
Na…
Kama umewahi kupitia Changamoto Kama Hizi basi najua maumivu yako, kwa sababu mimi pia nilipitia HAYO YOTE.
Na Kama Utasoma UJUMBE Huu Hadi Mwisho Basi Leo Ndiyo Itakuwa Mwisho Wa Mateso Hayo Milele!
Kwanini Ni Muhimu Kwako?…
Kwasababu:
“Ndizo SIRI Pekee Zilizonisaidia Kutengeneza Zaidi Ya Tshs 109,765,847M+ Mtandaoni Kwa Kuuza Bidhaa Za NM Ndani Ya Miezi 12 Tu!…
YES!…ZAIDI YA 100M+
Pamoja Na Kununua Gari Yangu Ya Kwanza Mwezi Februari,2025”
Bado Huniamini…?
Hebu Angalia ACCOUNT Yangu Ninavyo PRINT MPUNGA Kama Wazimu Online Kila Mwezi…
Ukweli Ni Kwamba!
…Nilianza rasmi kufanya biashara Network marketing mwaka 2022…
Lakini kilichoniumiza zaidi ni kule kujaribu kuuza bidhaa zangu kwa watu ambao:
– Hawaniamini 😓
– Wanaona kama nataka Kuwa tapeli Tu 🤦
– Wanadhani nauza bidhaa zisizo na thamani 🥲
_Kuchati Na Watu Zaidi Ya 100 Lakini Naambulia
MATANGO POLI Bila Mauzo yoyote
– Wanadhani kila networker ni tapeli 🚫
Pamoja na Matusi Mengine Kibao Yataje Na Wewe…
Hembu Fikiria:
Watu wanauliza tu bei… lakini HAWANUNUI!
…Pamoja na Kutolewa Kwenye Magroup Kama TAPELI!
…“Nauli ,Chakula, Kodi & Madeni Tu”
Japo naona AIBU Kulisema hili Ila ukweli ni kwamba:
…“Mpaka asali wangu wa Moyo Sarah alinipiga Kibuti kisa nilikosa Pesa ya Kumnunulia Keki katika siku yake muhimu ya kuzaliwa”
…Na Si Hivyo Tu…
Mpaka Nguvu za kiume Ziliisha Hadi Mashine Yangu Ilisinyaa Kwa Sababu Ya Msongo wa mawazo
“Hivi nitaishi Maisha haya mpaka lini?”…nikajiuliza bila majibu!
…March,2023…
Kama kawaida:
Unadhani ni Kipi kilinikuta?…
Ndio Upo sahihi…
Sikutaka tena kusikia mambo ya Biashara Mtandaoni…
Kuanzia Siku Hiyo Nikaelewa Kwanini Wateja Hawanuni Bidhaa Zangu Za Network marketing 😂
…Nikaamini kila Kitu Mtandaoni ni UTAPELI mtupu…
Wakati tayari nimeshajikatia tamaa…
Huyu Ni Gwiji wa Network Marketing mtandaoni anasema:
“Don’t chase people. ATTRACT them!”
Wakati nasikiliza hiyo video ni kama “FrazerBrooks” alikuwa anaongea na mimi ana kwa ana…
…na Kuanzia siku hiyo Frazer Brooks ndiye akawa mentor wangu wa kwanza kuhusu Network marketing Strategy…
Nikanunua Courses zake zote kisha nikaingia Chimbo kujinoa…
Tu!
Sio hivyo tu…
“Pia nimeshawasaidia DOWNLINE’S Wangu & Networkers wa Kitanzania zaidi ya 97+ Kutengeneza MAMILIONI ya Pesa Mtandaoni Kupitia SIRI Hizi unazoenda kuziona ndani ya muda mfupi ujao
Huniamini?…
…basi wasikilize mwenyewe hawa WACHACHE hapa chini jinsi wanavyosema….
Kwa nini Nakwambia haya yote?
Kwasababu:
Nataka nikupe SIRI ambayo leaders wengi wa Network Marketing hawataki Uijue kuhusu kitu KIMOJA kilichoshikilia pesa zako zote mtandaoni…
Ukweli mchungu ni kwamba:
“Pesa HAZIPO Kwenye Bidhaa ya Network Marketing Unayouza… Pesa zipo kwenye KITU KIMOJA
Zaidi ya $1,000,000,000 Katika biashara yake”
NA:
KWANI:
“Kitu Pekee unachotakiwa Kufanya ni Kukopi & Kupesti Hizi STEPS 3 Ndani ya Kitabu Hiki Kipya unachoenda Kukiona ndani ya Sekunde 60 zijazo then Boom Voila”
Ukweli ni kwamba:
Sikuwa na mpango wowote wa Kuvujisha SIRI hizi popote..
…(labda kwenye “Mentorship Program” yangu ijayo ya Tshs 1.5M kwa mwaka)
…wala sikuwa na mpango wa Kuandika eBook wala kutengeneza Kozi yoyote ndani ya mwaka huu
ILA:
…kutokana ya maombi ya NETWORKERS wanaotaka kujifunza kuwa mengi na siwezi kumfudisha kila mtu
…Basi leo nimeamua Kukusanya SIRI Zote Nilizojifunza Ndani ya Miaka 3 Ya Jasho Na Damu Kuhusu “Copywriting, Offers, Network Marketing & Sales” na kukuwekea ndani ya eBook Hii Mpya Inayoitwa:
“NMN – Blueprint”
NA:
….Hizi hapa ni Nusu tu ya SIRI Unazoenda Kuzingundua ndani ya eBook yako yenye HATUA 3 Tu…
(Hint: Siri hii inaitwa “The Godfather”
…(Hint: Ndio SIRI Pekee Inayoningizia Kisiri Mamilioni ya Pesa Mtandaoni Hata Nikiwa Nimelala Huku Nakula URODA Na Mpenzi Wangu Kama Unavoona Hapa Chini
…Pamoja na Siri zingine Kibao utazikuta ndani ya eBook
…eBook hii ni TOFAUTI na eBook Zingine Zote Mtandaoni…. kwasababu ndani ya eBook hii Mpya nimekuwekea Siri Zote Kubwa nilizojifunza kwa miaka yote 3 kuhusu “Copywriting, Offers, Network Marketing & Sales”
…yaani ukipata bahati ya kuipata eBook Hii utakuwa umeua ndege 6 kwa jiwe Moja”
Kwahiyo:
…Ni Sawa Nikiiuza eBook Hii kwa Tshs 500,000?
NA:
…Vipi kuhusu Tshs 400,000?…. Hiyo bado itakuwa Kubwa sana kwa baadhi ya watu
Vipi Kuhusu Tshs 300,000 Je?…Hiyo ipo Sawa kabisa ila bado nataka nishuke chini zaidi kwa ajili ya wale ambao Ni DISTRIBUTOR Wapya Hawana kipato kwa sasa
Mpaka Tshs 100,000?… HAPANA!
Badala yake:
…“Leo Utaweza Kuipata eBook Yako Ya “NMN – BLUEPRINT” kwa Malipo Kidogo ya:
NA:
…Kuipata eBook Hii kwa bei hiyo ni mpaka uwahi kwasababu MAELFU ya watu wanasoma ujumbe huu sasahivi na Nafasi zilizopo ni 20 Tu… (LIMITED)
Subiri kwanza:
…Nataka Ninogeshe Zaidi OFA Kwa ajili yako!
BONASI #1 : Nitakupa BURE PDF yenye Mkusanyiko wa sales Funnels zilizojaribiwa kwa ajili ya kuuza bidhaa Mtandaoni Zinazohusu: Afya Na Network marketing…
-Funnel hii inaitwa “$1M Funnels”, utakopi tu & Kupesti katika Biashara yako then boom….(Nilinunua Tshs 297,380 na sitaiuza popote)
BONASI #2 : Nitakupa Access ya Website ya Siri Inayoitwa META PIXEL Iliyofichwa Na FB&IG ya Kutarget AUDIENCES Sahihi Peke katika Matangazo yako ya Kulipia Fb & Insta kwa Gharama ndogo mno bila kushindana na washindani wako…
(Nililipia Tshs 637,000 kupata Access yake)
…Hembu ngoja…Bado Kuna Zaidi!
Nataka nikupe Hii BONASI Hapa Chini kama Utalipia eBook Yako Ya NMN – BLUEPRINT Leo…(ndani ya masaa 24)
Kwahiyo:
…Kama utanunua eBook Hii Ya NMN – BLUEPRINT leo utapata na BONASI zote hizo zenye Thamani ya Tshs 1,234,380 kwa Malipo Kiduchu ya:
Najua utakuwa unajiuliza maswali haya…
-Hivi eBook Hii Itanifaa kweli?…
-kwani Umeandika kwa Lugha gani?
-Je Napataje Hii eBook?
-Vipi nikipoteza bahati mbaya nalipia tena?
Well…eBook Hii ni Maalumu kwa Mtu yeyote Anayeuza Bidhaa za network marketing anayetaka Kutengeneza Kuanzia Tshs 1M – 3M+ Kila Mwezi (Online) Pamoja na Copywriting, Kuuza & Offers
…na Baada ya Malipo nitumie SMS ya mwamala whatsap Kisha Nitakutumia Kitabu Chako Pamoja Na BONUS ZAKE BURE Ndani Ya Dakika 2 Tu…
…Pia Nimefundisha Siri Zote Hatua kwa hatua tena kwa Lugha ya KISWAHILI na hata ukipoteza unatumiwa tena kila Kitu BURE!
“Nakupa Guarantee ya 100% ya kwamba…Utaipenda eBook Hii na ikitokea hujaipenda basi nitakurudishia Pesa yako bila kukuuliza swali lolote na eBook unabaki nayo Milele”
So itabidi uwahi Kabla Nafasi Hazijaisha…Kwasababu eBook Hii Nimepanga Kuiuza Exclusive kwa watu 20 Tu Walio Serious Kama Wewe… (LIMITED)
…Subiri Kidogo kuna cha Mwisho!…
P.S: Kabla hujaamua Kupuuza Ujumbe huu na Kuondoka hebu soma kwanza hii:
“Bei ya eBook Hii ni Tshs 30,000 Tu… hiyo ni sawa kabisa na bei ya Pea Moja ya Jeans pale Mtaa wa Kongo kariakoo
…ila kitu Kimoja kuhusu Jeans ni kwamba Utaivaa, Itapauka, Itaisha na utaitupa siku Moja Ila Ujuzi unaoenda Kujifunza Ndani ya eBook Hii Utakutengenezea Pesa Milele!
…Je ni Maamuzi gani Sahihi Kwako?…
Kununua Jeans ambayo utaivaa na kuitupa siku moja
Au:
Kununua eBook Hii ambayo Itakupa Ujuzi wa Kutengeneza Pesa na kuwa Huru Milele!
Well…Chaguo ni Lako!
Anyway…Utabaki kuwa rafiki yangu haijalishi utafanya Maamuzi gani…